• Live

  • Album cover

RFI ni redio ya utumishi wa umma kwa jamii na wakazi waliotawanyika kote duniani. Ni redio ya kwanza ya Kifaransa inayoongoza kwa Habari endelevu ya kimataifa. Inatoa matangazo ya Kifaransa na lugha za kigeni kupitia ofisi yake ya Paris na matawi yake nje ya nchi. Ina mtandao wa kipekee wa aina yake na ofisi 10 za kudumu nje ya nchi.